iqna

IQNA

Hassan Mwalupa
Mnamo 14 Dhul Hija 1442 Hijria Qamaria sawa na 25 Julai 2021, Waislamu wa Afrika Mashariki na maeneo mengine duniani walikumbwa na majonzi kufuatia kuaga dunia mwanazuoni mtajika wa Kiislamu na mfasiri wa Qur’ani Tukufu Alhaj Sheikh Hassan Mwalupa .
Habari ID: 3474408    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/10